Wanafunzi 17 wa Shule ya Sekondari Kabuholo wilayani Ilemela jijini
Mwanza, wamejeruhiwa na radi kufuatia mvua kubwa ilioyonyeshwa jijini
humo kwa saa moja.
Tukio hilo lilitokea jana saa 1.45 asubuhi wakati radi hiyo ilipowapiga
wanafunzi wa kidato cha nne 15, mmoja kidato cha tatu na mwingine
kidato cha kwanza.
Akizungumza na mwandishi wetu jana, Mwalimu wa mazingira wa shule hiyo
↧