Licha
ya Bunge Maalum la Katiba (BMK) kuunda Kamati ya Mashauriano ili kusaka
theluthi mbili ya kura za upande wa Zanzibar, Bunge hilo jana
lilichafuka baada ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud
Othuman, baada ya kupiga kura ya wazi akikataa sura na ibara kadhaa za
Rasimu inayopendekezwa.
Hali hiyo ilisababisha vurugu na hasira kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa
bunge hilo, na
↧