Idadi ya watu waliolazwa hospitalini kwa kunywa togwa
inayosadikiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Litapwasi, Kata ya Mpitimbi
mkoani Ruvuma imeongezeka kutoka 270 hadi 340.
Tukio hilo lilitokea Jumapili baada ya watu
kushiriki sherehe ya Kipaimara ambako walikula, kunywa pombe na togwa na
baadaye wale waliokunywa togwa walianza kuumwa matumbo, kuhara na
kutapika.
Hadi jana,
↧