MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe, ameibuka mwanasiasa wa
kwanza barani Afrika kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii,
imefahamika.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Umoja wa
Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya Nchi za Afrika Mashariki na Kati (ECASSA)
Mhe. Zitto anatarajiwa kukabidhiwa tuzo yake hiyo katika sherehe
rasmi iliyopangwa
↧