STAA wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'
usiku huu amefanya makamuzi ya nguvu katika uzinduzi wa shindano la Big
Brother Hotshots unaofanyika jijini Johanessburg nchini Afrika Kusini.
Katika shindano hilo, Tanzania inawakilishwa na watu wawili mrembo
Irene 'La Veda' na Idriss.
Jumla ya washiriki 26 kutoka mataifa 13 ya
Afrika watachuana kwa siku 63
↧