MSHIRIKI wa shinadano la Big Brother Hotshots kutoka Tanzania, Irene
'Laveda' amefunika vilivyo katika shoo ya ufunguzi wa shindano hilo
usiku huu nchini Afrka Kusini.
Laveda ameongoza kwa kura zilizopigwa na watu waliokuwa mjengoni
akipata asilimia 85 kutokana na shoo yake kali aliyotoa akicharaza
vilivyo saxophone na kuwafunika washiriki wengine 25 kutoka mataifa
mengine ya Afrika
↧