Rais wa
Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amemteua Bwana Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) nchini.
Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam, jana, Jumatatu, Oktoba 6,
2014, na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Bwana Peter Ilomo inasema
kuwa uteuzi huo umeanza Ijumaa iliyopita, Oktoba 3, mwaka huu, 2014.
Kabla ya uteuzi wake,
↧