MWALIMU wa Shule ya Sekondari ya Muungano iliyopo mji mdogo wa Himo wilayani Moshi, Richard Ndoile (30), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, kwa tuhuma za kukutwa gesti na mwanafunzi wake wakifanya mapenzi.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Koka Moita alisema jana ofisini kwake, kuwa tukio la kukamatwa kwa mwalimu huyo lilitokea Oktoba 4, saa 5.00 asubuhi,
↧