MWANDAAJI wa mashindano ya urembo Tanzania, Miss Tanzania, Hashim Ludenga amewasilisha pingamizi la awali katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akipinga kuzuiwa kuendelea kuendesha mashindano hayo yanayotarajiwa kufikia kilele chake Oktoba 11, mwaka huu.
Lundenga kupitia kwa Wakili Audax Kahendaguza, aliwasilisha pingamizi hilo dhidi ya ombi la kuzuiwa kuendelea
↧