Kufuatia matusi ya mama wa staa wa sinema
za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, Miriam Sepetu kwenda kwa mwigizaji Kajala
Masanja ‘Kay’, mastaa hao wamejikuta wakitoana jasho kwenye Kituo cha
Polisi cha Kijitonyama almaarufu Mabatini jijini Dar mwishoni mwa wiki
iliyopita.
Duru za ‘kiubuyu’ zilidai
kwamba Kajala, baada ya kuchoshwa na matusi hayo ambayo yalianzia kwenye
sherehe ya kuzaliwa
↧