Mwenyekiti
wa Baraza la Wanawake la chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA
ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kawe jijini Dar es salaam Mhe. Halima
Mdee leo amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.
Mdee
amefikishwa katika mahakama hiyo pamoja na wanachama wengine wanane wa
chama hicho na kusomewa mashtaka mawili ya kukusanyika kinyume cha
sheria pamoja na
↧