RAIS wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali
Mohamed Shein, leo amemfuta kazi Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman
Masoud Othman na nafasi yake kuchukuliwa na Said Hassan Said.
Rais Shein
amefanya uteuzi huo wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar, kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu 55 (1) cha
Katiba ya Zanzibar
↧