Mkoa
wa Dodoma umeendelea kufanya maandalizi makubwa kwa ajili ya hafla ya
kukabidhi Katiba inayopendekezwa kwa Rais Jakaya Kikwete
Wakati
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete
akitarajiwa kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalum kesho
mjini Dodoma, maandalizi kabambe kwa ajili ya hafla hiyo yamefanyika
mjini humo huku idadi kubwa ya
↧