Serikali
imeondoa zuio la mikutano ya Vyama vya Siasa lililokuwa limetangazwa
mwezi Mei mwaka juzi kuzuia mikutano hiyo kufanyika katika mikoa ya
Lindi na Mtwara.
Zuio hilo limeondolewa leo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mathias Chikawe.
Mikutano
hiyo ilizuiliwa kutokana na vurugu za wananchi waliokuwa wakipinga
ujenzi wa mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara
↧