Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Mheshimiwa Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
alizaliwa tarehe 7 Oktoba, 1950 kijiji cha Msoga kilichopo wilayani
Bagamoyo mkoa wa Pwani . Alipata
elimu ya msingi katika shule ya msingi Msoga kati ya mwaka 1958 na 1961.
Baada ya hapo alihamia shule ya kati(middle school) Lugoba kati ya
mwaka 1962 mpaka
↧