Jokate Mwegelo ambaye hivi karibuni alishoot video ya wimbo wake wa
kwanza kama msanii wa muziki nchini, ametoa sababu za kwanini mpaka sasa
video wala wimbo huo havijafanikiwa kutoka.
Jokate a.k.a Kidoti amesema kuwa video aliyoshoot Kenya
imechelewa kwasababu kuna vitu ambavyo hakuvipenda katika video, hivyo
vimechukua muda kurekebishwa ili kupata kitu bora zaidi.
“Kuna delay
↧