Mwanamke nchini Ufaransa, juzi amefunga ndoa na mwanae wa kambo baada
ya kusuguana na mamlaka za nchini humo kuhusu haki yake ya kuolewa.
Elisabeth Lorentz, 48, amefunga ndoa na Eric Holder, kanisani
kwenye kijiji kidogo Dabo huko Alsace-Lorraine, kaskazini mashariki mwa
Ufaransa. Ms Lorentz alikutana na baba yake na Holder mwaka 1989, wakati
huo akiwa na miaka 24.
Wawili hao
↧