Rapper Noorah aka Babastylez amesema kama isingekuwa neema za Mungu, leo hii asingekuwepo duniani.
Akiongea kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV hivi karibuni,
Noorah alidai alikuwa na tatizo la kujikunja kwa utumbo lililodumu kwa
miaka 20. Amesema wakati tumbo likimuuma alikuwa akidhani ni vidonda vya
tumbo.
“Doctor amekuja kunifanyia operesheni, baada ya operesheni akamuita
↧