Maofisa wa polisi nchini Kenya wameeleza kwanini waliamua kumkamata muimbaji wa dancehall wa Kenya, Mohamed Swabir aka Redsan weekend iliyopita.
Polisi wamesema msanii huyo pamoja na washkaji zake akiwemo producer wake, Sappy ambaye ni Mtanzania, waliwasili kwenye viwanja vya ‘Nairobi International Trade Fair’ siku ya Ijumaa tayari kwa show lakini waligoma kukaguliwa.
Hiyo ni baada
↧