Jokate Mwegelo anarejea tena kwenye kipindi cha Top Ten Most cha
Channel O. Awamu hii mtangazaji mwenza ni rapper Ice Prince Zamani wa
Nigeria. Kipindi hicho kitaonekana Jumatano hii saa mbili usiku kwa saa
za Afrika Mashariki.
Kupitia website yao, Channel O wameandika:
This month, rap superstar Ice Prince joins Channel O VJ Jojo as
host on the brand new season of their hit show ‘Top
↧