Diamond Platnumz amewabwaga Davido, Awilo Longomba, Willy Paul Msafi
(Kenya) na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda kipengele cha ‘mtumbuizaji
bora wa Afrika – Best African Entertainer kwenye tuzo za IRAWMA
(International Reggae and World Music Awards).
“It always seems impossible until it’s Done!…ningependa
kuwataarifu Wadau wangu kwamba #MdogoMdodo ndio nyimbo bora yenye
Mahadhi ya
↧