SHERIA iliyopitishwa na
wakazi wa Arumeru mkoani Arusha ya kuwachapa viboko 70 hadi 120
wasichana wanaovaa nusu uchi na wavulana wanaovaa mlegezo, kuvuta bangi,
wizi, matusi na ulevi nyakati za kazi imeanza kufanya kazi baada ya
kijana Zakayo Leonard (26) kuchapwa viboko 120 kwa makosa mbalimbali
likiwemo uchafu wa kutofua nguo zake.
Kijana huyo mkazi wa Ilboru, alihukumiwa adhabu
↧