Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia, Dk. Abdirahman Duale Beyle amesema
kuwa, balozi za Somalia nje ya nchi zimepunguzwa na kufikia 31 kote
ulimwenguni.
Duale amesema kuwa, balozi hizo zimepungua tangu kulipofungwa balozi
tisa za nchi hiyo barani Afrika, Mashariki ya Kati, Asia na hata
Ulaya. Ofisi hizo za uwakilishi wa kisiasa zilifungwa kwa muda kufuatia
kuongezeka gharama za
↧