Shukurani Kando (34) ambaye ni mvuvi na mkazi kitongoji cha Kalumo kijiji cha Nambubi, Kata ya Kisorya amejeruhiwa kwa kung’atwa na kiboko na wengine wawili kunusurika wakati wakivua katika Ziwa Victoria wilayani Bunda, Mkoa wa Mara.
Kwa mujibu wa diwani wa kata hiyo, Misana Jigwila tukio hilo ni la juzi saa 1:00 asubuhi ambapo alisema kiboko huyo alitokea ghafla wakati wavuvi hao
↧