Rais Jakaya Kikwete ametoa hati za uraia wa Tanzania kwa wakimbizi 162,156 kutoka nchi jirani ya Burundi na ambao wameishi nchini kwa miaka 42, tangu mwaka 1972.
Alitoa hati hizo juzi mjini Tabora, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi ya siku mbili kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo.
Kikwete alitoa hati hizo kwa wakimbizi 19 kwa niaba ya wenzao katika shughuli iliyohudhuriwa
↧