Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bongo anayekuja juu kwa kasi, Janet Mrema anayedaiwa kutoroshwa na mchungaji huyo.
**********
Mchungaji anayejiita nabii na mtume, raia wa Jamhuri
ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) aliyetajwa kwa jina moja la Emmanuel
amejikuta ndani ya majanga kufuatia madai mazito kwamba amemtorosha mke
wa mtu ambaye ni mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bongo anayekuja juu kwa
kasi,
↧