Mama wa marehemu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa
amekanusha vilivyo taarifa zilizozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na
kijana mdogo ambaye amemzidi umri (serengeti boy).
Mama Kanumba ambaye pia amefuata nyayo za mwanaye kwa kujiingiza
katika uigizaji, alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na mwanahabari
wetu mambo mbalimbali yahusuyo maisha yake binafsi na sanaa kwa jumla.
↧