Zimesalia siku chache kabla ya kuingia mwezi mwingine wa
Novemba. Ni mwezi mchungu kwa watendaji wa wilaya kupitia halmashauri
mbalimbali waliopewa hadi mwezi huo kuhakikisha wanajenga maabara za
masomo ya sayansi.
Rais Jakaya Kikwete aliagiza kujengwa maabara za
shule katika maeneo yao na kuwataka kuhakikisha kuwa miundombinu hiyo
inakamilika mapema.
Akiwa katika mikutano ya
↧