Kundi la uchekeshaji la Orijino Komedi limenunua na kuwakabidhi
wasanii wake nyumba saba zenye thamani ya shilingi milioni 840 ambapo
kila nyumba moja ilinunuliwa kwa thamani ya shilingi milioni 120.
Kundi hilo limeweka picha za nyumba hizo kwenye akaunti yake ya Instagram na kuandika:
“ItsOfficialNw Bwn Mseli Abdallah-Planning & Investment Manager
wa NSSF akimkabidhi @
↧