Majeruhi 9 kati ya 15 waliofikishwa katika hospitali
ya Taifa Muhimbili baada ya kuungua na moto uliosababishwa na kuungua
kwa lori la mafuta huko Mbagala jijini Dar es Salaam Oktoba 15 mwaka
huu, wanaendelea na matibabu huku hali zao zikiwa bado mbaya.
Kamera yetu ilifika katika hospitali hiyo na kuwakuta wagonjwa hao
wakiwa wamelazwa katika wodi namba 23 iliyopo katika jengo la
↧