Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Jamaa huyu alijikuta akipigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji ya MACHAFU kwa kukutwa kavaa sare za jeshi ( JWTZ)

$
0
0
Picha unazoona sio utani wala sinema, ni raia wa kawaida akiogelea kwenye dimbwi kwa amri ya mwanajeshi. Raia huyo alikutana na adhabu kali za mwanajeshi huyo baada ya kukutwa amevaa mavazi halisi ya jeshi la Tanzania maeneo ya Kariakoo Dar es Salaam. Jamaa huyo alipokamatwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha akaamriwa kuvua mavazi hayo na kisha kuaza kutumikia mazoezi ya hatari .

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>