MGAWANYO wa ruzuku na kikwazo cha Sheria ya Vyama vya Siasa, vinatarajiwa kugeuka kisu kikali, kitakachotishia muungano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi.
Tayari Ukawa imetangaza nia ya kusimamisha mgombea mmoja katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu, na mgombea udiwani, ubunge na urais mmoja
↧