Mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha mkoani Arusha hali yake siyo nzuri baada ya kunajisiwa na watu sita.
Tukio hilo lilitokea majira ya saa 1 usiku Oktoba 7 mwaka huu katika kata ya Daraja Mbili jijini Arusha. Imeelezwa kuwa sehemu yake ya kizazi imeharibika kutokana na unyama huo.
Akizungumza na mwandishi jana
↧