HALMASHAURI Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyomaliza kikao chake jana jioni Mjini Dodoma, imeunga mkono katiba iliyopendekezwa kwa asilimia 100.
Katika mkutano wake na waandishi wa habari mara baada ya kukamilika kwa kikao hicho, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alisema Bunge Maalumu la Katiba lilifanya kazi nzuri ambayo inastahili kupongezwa.
Kutokana na hilo,
↧