Jana (Ijumaa) msanii wa muziki na maigizo Bongo, Zuwena Mohammed
’Shilole’ amezindua video ya ya wimbo wake wa ‘Namchukua’ ndani ya
viwanja vya Ufukwe wa Coco Beach, ambapo watu mbalimbali walihudhuria.
↧