Staa wa Bongo Movies, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumtaka
msanii mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’ kukubaliana na matokeo ya
aliyekuwa mpenzi wake Vincent Kigos ‘Ray’ kwamba kwa sasa ana uhusiano
na mtu mwingine.
Akizungumza na mwandishi wetu, Aunty Lulu alimtaka Johari kukubaliana
na matokeo na aige mfano wake kwani aliachana na Bond Bin Sinan ambaye
kwa sasa ana
↧