Msanii kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido' akikamua kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akifanya makamuzi na Davido (kulia).
↧