Serikali
mkoani kigoma imeyafunga machimbo madogomadogo ya dhahabu katika kata
ya Nyamtukuza wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, kutokana na kudaiwa kuwa
chanzo cha mauaji ya watu watatu yaliyotokea mwishoni mwa wiki kufuatia
ugomvi wa kugombea ardhi katika kijiji cha Minyinya.
Akihutubia wananchi katika kijiji cha Minyinya, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma
Luten Kanal Mstaafu Issa Machibya amesema,
↧