Mwanaume mmoja anayesemekana ni
mfanyabiashara ambaye pia anatajwa kugombea udiwani wa kata moja
iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, aliyetajwa kwa jina moja la
mzee Beno amenaswa akiwa chumba cha gesti na mwanafunzi wa chuo kimoja
kilichopo Kibamba jijini Dar.
Tukio hilo la aina yake lilijiri Oktoba 20, mwaka huu ndani ya gesti
moja iliyopo Kimara-Suka jijini Dar es Salaam
↧