Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amesema kuwa anafurahishwa na kiwango cha uwekezaji wa makampuni ya
Jamhuri ya Watu wa China katika uchumi wa Tanzania ambao hadi mwishoni
mwa mwaka jana ulikuwa umefikia miradi 522 yenye thamani ya dola za
Marekani 2,490.21 milioni (dola bilioni 2.5).
Rais Kikwete amesema kuwa kiwango hicho kinaufanya
↧