Juhudi na bidii za Diamond Platnumz katika muziki zinaonekana hata
katika vituo vya kimataifa.
Channel O imemtaja Diamond Platnumz kama
mmoja wa wanamuziki walioleta mabadiliko makubwa katia mzuiki wa Africa
kupitia kipindi chake cha Top Ten Most ambacho kinatangazwa na Jokate
Mwegelo na Ice Prince atika msimu wake huu mpya.
Katika list hiyo Diamond amewekwa nafasi ya kumi
↧