Mkutano
wa mwenyekiti wa baraza la wanawake wa chama cha Demokrasia na
maendeleo Chadema Halima Mdee umeingia dosari baada ya vijana wanaodaiwa
kuwa ni wafuasi wa Chama cha Mapinduzi CCM kuingia na mabango yao katika
mkutano uliokuwa ukifanyika kijiji cha Kyamiorwa kata Kashalunga
wilayani Muleba na kusababisha vurugu.
Mwenyekiti wa baraza la wanawake Chadema Halima Mdee
↧