Jeshi
la Polisi mkoani Morogoro limeendesha operesheni maalum ya kutokomeza
bangi katika mkoa huo, kwa kuteketeza hekari Tano za mashamaba ya bangi
mkoani humo.
Baadhi
ya wananchi wa tarafa ya Mgeta wilayani Mvomero na maeneo mengine
mkoani Morogoro, wameacha shughuli halali za uzalishaji mali na
kuchangia maendeleo ya huduma muhimu kama za elimu na afya, badala yake
kuelekeza
↧