Katibu
mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue amekiri kuwepo kwa mapungufu katika
mfumo wa ufuatiliaji wa tathmini ya fedha na rasilimali za serikali hali
inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya rushwa na utendaji mbovu katika
idara na taasisi za serikali kwenye utoaji huduma kwa umma huku miradi
mingi ya maendeleo hasa kutoka kwa wahisani kusitishwa kwa sababu ya
vitendo hivyo.
Balozi
↧