Mshiriki wa kike wa Tanzania, Laveda, jana alitolewa rasmi katika jumba la big Brother Africa na kuifanya Tanzania kubaki na mshiriki mmoja tu ambaye ni Idris.
Pamoja na
kutoka akiwa na skendo ya kupiga punyeto mbele ya wenzake, Laveda
amesema hakuna anachojutia kwa muda wote aliokaa katika jumba hilo .
“Oh trust me when I say this, I would not change
↧