Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amesababisha mageuzi makubwa kwa namna Jamhuri ya Watu wa China
inavyowapokea viongozi wageni kutoka nje kwa kuwa kiongozi wa kwanza
duniani kupokewa rasmi na pikipiki za polisi na kuongozwa na pikipiki
hizo kwa muda wote wa ziara katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.
Rais Kikwete ambaye aliwasili nchini
↧