Msanii
wa muziki Chidi Benz anatarajiwa kufikishwa mahakamani siku ya kesho
kujibu mashitaka kutokana na kesi ya kukamatwa na Dawa za Kulevya, tukio
lililotokea Ijumaa wiki iliyopita.
Kwa
mujibu wa Kamanda Geofrey Nzowa ambaye ni Mkuu wa Kikosi cha kupambana na dawa
za Kulevya nchini, Chidi Benz atafikishwa katika mahakama ya Kisutu
ambapo atasomewa mashitaka yake kwa mara ya
↧