Paka watatu wenye macho mekundu walimshangaza Kamanda wa Polisi
Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP
Godfrey Nzowa pale alipowakuta katika mlango wa ofisi yake na
kumng’ang’ania miguuni.
Sakata hilo lilitokea wiki iliyopita wakati Kamanda Nzowa akitoka
ofisini na mgeni wake aliwakuta paka hao mlangoni.Kufuatia hali hiyo,
wageni na baadhi ya askari
↧