KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mashirika ya Umma (PAC), imetoa siku
mbili kwa uongozi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)
kuwasilisha mikataba 26 ya gesi kwa Katibu wa Bunge.
Uamuzi wa kamati hiyo umetokana na menejimenti ya TPDC kushindwa
kuwasilisha mkataba hata mmoja kati ya mikataba 26 iliyoombwa na kamati
hiyo katika kipindi cha mwaka mmoja sasa.
Akizungumza
↧