NA Selina Wilson (Uhuru)
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitishiwi nyau kuungana kwa vyama vinne vya upinzani kwa lengo la kuking’oa madarakani.Kimesema muungano huo wa wapinzani si halali na ni sawa na ndoa ya mkeka.
Pia kimesema ni
ndoto za alinacha kwa wanandoa hao wa msimu, ambao kila mmoja anatafuta
ulaji, kuing’oa CCM, ambayo imesimamia maendeleo ya nchi pamoja na
↧